Siku ya Jumamosi tarehe 12/11/2011 Members wa Konyagi Society walipita kufanya usafi kwenye Baadhi ya mazingira tofauti tofauti hapa Dar es salaam hii yote ni kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanakua kwenye wanakua kwenye afya nzuri na kuhakikisha wanaepuka magonjwa yanayosababishwa na Uchafu wa mazingira......................
Hapa wakiwa wanajitaharisha tayari kwa kuanza Usafi
Hapa Kazi ikiwa imeshaanza watu wakiwa wanapiga usafi
Baada ya kazi ni bataaaaaaaa kwenda mbeleeeeee
0 comments:
Post a Comment